Kuelekea kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Ulimwengu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo , Mheshimiwa Hawa Ghasia amesema shirika litaendelea kuenzi na kuheshimu mchango wa wananwake wafanyanyabiashara .
Katika salamu zake hizo, Mhe. Ghasia amesema Soko jipya la Kariakoo litakalofunguliwa siku zijazo litaendelea kutoa fursa kwa usawa kati ya wanaume na wanawake wote ili kuchochea ukuaji wa uchumi.
Shirika la Masoko ya Kariakoo litaungana na watanzania kusheherekea Siku ya Wanawake Ulimwenguni hapo Machi 08 mwaka huu.
General Manager, Kariakoo Markets Corporation, Nyamwezi/Tandamti Street,
Postal Address: P. O. Box 15789 Dar es Salaam, Tanzania
Telephone: +255 22 2180678
Mobile:
Email: info@kariakoomarket.co.tz
Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.