Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, Mheshimiwa Hawa Ghasia leo Januari 29,2025 ametangaza kuwa shughuli katika soko la Kariakoo zitaanza tena kuanzia Februari mwaka huu ambapo majina ya wafanyabiashara 1,520 wenye sifa za kurejeshwa yatatangazwa kwenye vyombo vya habari mwishoni mwa wiki hii ">
Posted on: February 6th, 2025
Shirika la Masoko ya Kariakoo linaendelea na taratibu za maandalizi ya kurejesha shughuli za biashara katika Soko la Kariakoo kufuatia kutangazwa kwa majina ya wafanyabiashara wenye si...