• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

KARIAKOO KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WANAWAKE

Posted on: March 5th, 2026

KARIAKOO KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WANAWAKE

Shirika la Masoko ya Kariakoo litaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wanawake wanaofanya biashara katika soko la Kariakoo ikiwemo wafanya biashara wadogo ili kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na hivyo kukuza kipato cha familia na jamii kwa ujumla.

Kauli hiyo imetolewa na Meneja Mkuu wa shirika hilo, CPA. Ashraph Abdulkarim alipokuwa akieleza jitihada za Shirika la Masoko ya Kariakoo ilizofanya katika kumkomboa mwanamke na  kukuza kipato chake na kuondokana na umasikini.

Amebainisha kuwa kwa kuwawekea wanawake mazingira wezeshi ya biashara watachangia pato la taifa kama ilivyoelekezwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 ambayo inatambua mchango wa makundi mbalimbali katika kukuza uchumi wa nchi.

CPA. Abdulkarim ameongeza kuwa katika mpango mkakati wa shirika hilo wa miaka mitano kuanzia mwaka 2026-2031 umezingatia makundi yote ya jamii ikiwemo wanawake wanaofanya biashara wakubwa, wakati na wadogo.

CPA. Abdulkarim amesema katika mikakati ya kuboresha mazingira kwa wanawake ni pamoja na kutenga eneo maalum kwa ajili ya wakina mama kuwanyonyesha watoto wao, miundombinu kwa ajili ya watu wenye ulemavu na kwasasa shirika lipo kwenye hatua za awali za kuanzisha kituo cha kulea watoto ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua soko la Kariakoo Februari 8, 2026.

Aidha, Shirika kwa kushirikiana na taasisi za kifedha zimeendelea kutoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara wakiwemo wanawake kuhusu uwekezaji, kujiwekea akiba, kukuza kipato na namna wanayoweza kufanya kupata ili kupata mikopo kutoka taasisi hizo.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIAKOO KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WANAWAKE

    March 05, 2026
  • KARIAKOO, URA SECURITY KUIMARISHA ULINZI SOKO LA KARIAKOO.

    February 27, 2026
  • AGAKHAN WAONESHA NIA YA KUANZISHA KITUO CHA KULEA WATOTO KARIAKOO.

    February 26, 2026
  • JKCI NDANI YA SOKO KUU LA KARIAKOO, WANANCHI KUPATA HUDUMA BURE NDANI YA WIKI MOJA

    February 24, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.