• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

WATUMISHI WA WASHIRIKA LA MASOKO WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA E-MREJESHO.

Posted on: January 8th, 2026

WATUMISHI WA SHIRIKA LA MASOKO WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA E-MREJESHO.

Shirika la Masoko ya Kariakoo limeimarisha mfumo wa kupata mrejesho kutoka kwa wateja wake kwa kujiunga katika mfumo e-mrejesho ili kupata mrejesho kwa watu wengi zaidi, kushughulikia na kurudisha mrejesho kwa kwa wananchi kwa wakati na hivyo kuendelea kukuza dhana ya utawala bora katika shirika hilo.

Akifungua mafunzo hayo, Meneja Mkuu wa Shirika hilo CPA. Ashraph Abdulkarim amesema shirika hilo limeshughulikia malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo kwa wakati na limeendelea kumpata mrejeshao kila wakati kutoka kwa wafanyabiashara wake na wadau wengine.

“Baada ya kuwapangia maeneo wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, yapo malalamiko yaliibuka lakini tuliwasikiliza kila mmoja na baadae tulipata majawabu kwa pamoja, sasa tunataka kuwa na mfumo ambapo hata mtu akiwa nyumbani kwake anatupa mrejesho kuhusu huduma zetu na tutashugulikia na kumpa mteja mrejesho kwa wakati” amebainisha CPA. Abdulkarim

CPA. Abdulkarim ameongeza kuwa shirika limeteua afisa maalum ambaye atakuwa na jukumu la kuingia kwenye mfumo ili kujua mambo mbalimbali yaliyoibuliwa na wananchi, kuyawasilisha sehemu husika, kufuatilia mrejesho na kuuwasilisha kwa wananchi kwa wakati kwa kuzingatia mkataba wa huduma kwa mteja.

Kwa upande wake mkufunzi wa mafunzo hayo bw. Faraja Mpande amesema kuwa mfumo wa e-mrejesho ni miungoni mwa mifumo bora duniani na umeshinda tuzo mbalimbali kwa namna ya kushughulikia mrejesho wa wananchi kwa wakati na kuwahamasisha wananchi kuutumia mfumo ipasavyo kuwasiliana na serikali yao.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA WASHIRIKA LA MASOKO WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA E-MREJESHO.

    January 08, 2026
  • SOKO LA KARIAKOO LATENGA VYUMBA MAALUM VYAA KUNYONYESHA KWA WAKINA MAMA.

    December 30, 2025
  • UKARABATI NA UJENZI WA SOKO LA KARIAKOO WAFIKIA ASILIMIA 99, TAYARI KWA KUFUNGULIWA.

    December 24, 2025
  • WATUMISHI KARIAKOO WAPEWA MKONO WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA, WAHIMIZWA KUENDELEA KUWAJIBIKA.

    December 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.