• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO: SHIRIKA LA MASOKO LAWEZESHA SHUGHULI ZA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATIKA ENEO LA KARIAKOO.

Posted on: January 29th, 2026

KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO: SHIRIKA LA MASOKO LAWEZESHA SHUGHULI ZA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATIKA ENEO LA KARIAKOO.


Shirika la Masoko ya Kariakoo, katika kuimarisha shughuli za zimamoto na ukoaji katika maeneo ya Kariakoo limelipatia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto  Ilala Ofisi na eneo la kuegesha gari lao kwa ajili ya shughuli zao ili kupunguza usumbufu kwa wananchi wa maeneo hayo wakati majanga ya moto yanapojitokeza.


Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim alipokutana na uongozi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala kwa lengo la kujadiliana maeneo mbalimbali ya kushirikiana baina ya taasisi hizo mbili.


CPA. Abdulkarim ameongeza kuwa ushurikiano baina ya taasisi hizo ni muhumu kwa kuwa utawezesha Soko la Kariakoo na jamii inayozunguka soko hilo kuwa salama, na kufanya biashara bila wasiwasi wowote na kuendelea kuchangia uchumi wa taifa.


Kwa upande wake Kamanda za Zimamoto na Ukoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala, SACP. Peter Mabusi amesema Jeshi hilo litashirikiana na Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa kutoa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na watumishi wa shirika, kufanya ukaguzi wa mifumo ya kuzima moto ili kuwezesha kukabiliana na majanga kadiri yatakavyojitokeza.


Ikumbukwe kuwa Shirika la Masoko ya Kariakoo limekuwa likitoa mchango wa maji kutoka katika visima vilivyopo Soko la Kariakoo ambapo mpaka sasa limeshatoa Zaidi ya lita za ujazo 134,800 ambazo zimetumika kudhibiti matukio ya ajali za moto katika maeneo ya Kariakoo kwa kipindi cha mwezi Septemba 2025 hadi sasa.


Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO: SHIRIKA LA MASOKO LAWEZESHA SHUGHULI ZA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATIKA ENEO LA KARIAKOO.

    January 29, 2026
  • SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO, OSHA WATETA KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO LA KARIAKOO.

    January 26, 2026
  • KARIAKOO KUSAJILI TAARIFA ZA WAFANYA BIASHARA WAKE KATIKA KANZI DATA MAALUM

    January 11, 2026
  • SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO, SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA POLISI WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA ULINZI SOKO LA KARIAKOO.

    January 09, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.