• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO KUU LA KARIAKOO, ATAKA LIWE SOKO LA KUIGWA NDANI NA NJE YA NCHI.

Posted on: February 8th, 2026

RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO KUU LA KARIAKOO, ATAKA LIWE SOKO LA KUIGWA NDANI NA NJE YA NCHI.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema anataka Soko Kuu la Kimaitafa la Kariakoo liwe soko la mfano ambalo litaigwa na masoko mengine ya ndani na nje ya nchi kwakuwa na huduma zilipangiliwa vizuri kulingana na mahitaji ya soko na wadau wake.


Rais Samia amebainisha kuwa miongoni mwa mambo yatakalifanya soko hilo kuwa la mfano chini ni pamoja na uthabiti wa miundombinu ya kisasa ikiwemo mifumo ya Tehama, utaratibu mzuri wa maegesho, utaratibu mzuri kuingiza na kutoa mizigo sokoni, utaratibu kwa makundi mengine kuingia na kutoka sokoni ikiwemo boda boda, maguta n.k.


Rais Samia ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Soko Kuu la Kariakoo lililokarabatiwa na kujengwa upya kwa gharama ya bilioni 28, fedha zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita baada ya Soko hilo kupata ajali ya moto Julai 10, 2021.


Ameongeza kuwa uwekezaji uliofanywa na serikali ni mkubwa na umefanywa kupitia kodi za wananchi hivyo ni wajibu kila mwananchi kulinda miundombinu ya soko hilo na kuwataka wafanyabiashara kulipa kodi ya pango ili soko hilo liweze kujiendesha kwa manufaa ya sasa na baadaye.


Aidha, Rais Samia amueupongeza uongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo kwa kujali makundi mbalimbali ya jamii ikiwemo kutenga chumba maalum kwa ajili ya wakina mama kunyonyeshea, kutoa ofisi kwa ajili ya huduma mbalimbali ikiwemo huduma za zimamaoto kwa lengo la  kuimarisha za zimamoto kwa watu wa Kariakoo na maeneo ya Jirani.


Kwa upande wake Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, CPA. Ashraph Abdulkarim amemshukuru Mhe. Rais kwa kutoa fedha za ujenzi na ukarabati wa soko hilo, fedha ambazo zimewezesha kujenga soko jipya na hivyo kuongeza uwezo wa kuwahudumia wafanyabiashara ulinganisha na soko la awali kabla ya kuungua moto.


CPA. Abdulkarim ameongeza kuwa soko hilo litatoa huduma mbalimbali ikiwemo mauzo ya mizaa, mazao, huduma za kibenk, kubadilisha, migahawa, huduma za afya na huduma za maegesho ambayo yana uwezo wa kuegesha magari 400 kwa wakati mmoja hivyo kupunguza adha ya maegesho kwa eneo la Kariakoo.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO KUU LA KARIAKOO, ATAKA LIWE SOKO LA KUIGWA NDANI NA NJE YA NCHI.

    February 08, 2026
  • SHIRIKA LA MASOKO WAKUTANA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA KWA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI.

    February 02, 2026
  • KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO: SHIRIKA LA MASOKO LAWEZESHA SHUGHULI ZA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATIKA ENEO LA KARIAKOO.

    January 29, 2026
  • SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO, OSHA WATETA KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO LA KARIAKOO.

    January 26, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.