Dira ya Shirika la Masoko ya Kariakoo ni kuwa soko la mfano la kimataifa kwa biadhaa bora za kilimo. Tunapoadhimisha Sikukuu ya Nanenane mwaka 2024 Shirika linawatakia heri na mafanikio zaidi wakulima, wafugaji na wavuvi wote nchini.
Shirika litaendelea kuhakikisha dhima yake ya kutoa huduma za kisasa za uendeshaji wa masoko ya bidhaa za kilimo kwa maendeleo endelevu.
General Manager, Kariakoo Markets Corporation, Nyamwezi/Tandamti Street,
Postal Address: P. O. Box 15789 Dar es Salaam, Tanzania
Telephone: +255 22 2180678
Mobile:
Email: info@kariakoomarket.co.tz
Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.