• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

ZAIDI YA WANANCHI 700 WATEMBELEA BANDA LA KARIAKOO NANENANE DODOMA

Posted on: August 9th, 2026

ZAIDI YA WANANCHI 700 WATEMBELEA BANDA LA KARIAKOO NANENANE DODOMA 


Zaidi ya wananchi 700 wa mkoa wa Dodoma na maeneo ya jirani wamepata huduma katika Banda la Shirika la Masoko ya Kariakoo ndani ya maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Samwel Malecela, Nzuguni mkoani Dodoma.


Idadi hiyo inalifanya shirika hilo kuwa miongoni mwa taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI kuhudumia watu wengi zaidi na hivyo kuonesha ni kwa kiasi gani wananchi wanahitaji kupata taarifa za shirika hilo ambalo linamiliki Soko la Kuu la Kariakoo, soko ambalo mapngilio wake wa biashara umezingatia makundi mbalimbali ya jamii.


Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na wananchi waliotembelea banda la shirika hilo ni uongozi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo kuanzisha masoko mengine ndani na nje ya Dar  es Salaam yenye hadhi na bidhaa kama zinazopatika na Kariakoo ili kupunguza usumbufu wa kuzifuata huduma hizo Dar es Salaam au mitaa ya Kariakoo.


Akizungumza katika banda hilo, Meneja Mkuu wa Shirika hilo CPA. Ashraph Abdulkarim amesema kwa kutambua umuhimu wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo (Nanenane), shirika limeamua kusogeza huduma karibu na wakulima kwakuwa kwa kiasi kikubwa biashara inayofanyika Soko Kuu la Kariakoo zinagusa wakulima na wafugaji katika maeneo ya pembejeo, biashara ya nafaka nk.


CPA. Abdulkarim amebainisha kuwa maonesho hayo yameimarisha mahusiano na wadau mbalimbali ambao wameona fursa ya kushirikiana na Soko hilo katika nyaja mbalimbali kwa lengo la kuongeza tija baina ya taasisi hizo.


Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane kitaifa yamefungwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 8, 2025.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WANANCHI 700 WATEMBELEA BANDA LA KARIAKOO NANENANE DODOMA

    August 09, 2026
  • WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUZINGATIA USAFI.

    July 21, 2026
  • MALORI YA BIASHARA YA JUMLA RUKSA SHIMONI KARIAKOO, MSAMAHA WA USHURU KWA WIKI MBILI.

    April 26, 2026
  • KARIAKOO YAJA NA MWAROBAINI WA MAEGESHO, MAGARI ZAIDI YA 400 YAEGESHWA KWA SIKU.

    March 31, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.