• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
      • Health and Sanitation
      • Finance
      • Planning and Commercial
    • Vitengo
      • Maintenance Service
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
      • Security
  • Kituo cha habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya picha
    • Press-Releases
    • Video
  • Marketing
    • Products and Services
    • Marketing Price
  • Miradi na Fursa za uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Manunuzi
    • Zabuni
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Journals/Newsletter
    • Reports
    • Hotuba
  • Huduma mtandao
    • Revenue Collection(TAUSI)
    • GISP Portal
    • Employees Self Service Portal
    • E - Mrejesho
    • E - Board
    • E - Mikutano

SHIRIKA LA MASOKO WAKUTANA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA KWA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI.

Posted on: February 2nd, 2026

SHIRIKA LA MASOKO WAKUTANA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA KWA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI.


Uongozi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo umekutana na kufanya mazungumzo na wataalam kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina, wataalam hao wamekutana na Uongozi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa lengo la kujitambulisha kabla ya kuanza kufanya zoezi la tathmini ya utendaji kazi wa shirika hilo kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Juni, 2025 na kipindi cha Julai 2025 hadi Desemba, 2025.


Akiongea katika kikao hicho, Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim amesema shirika hilo litatoa ushirikiano unaostahili ili wataalam hao waweze kufanya kazi yao kwa ufanisi na kupata matokeo stahii yatakayosaidia shirika hilo kusonga mbele zaidi.


“Ni desturi yetu kila inapofanyika tathmini au ukaguzi kila kinachohitajika kinapatikana kwa wakati, shirika hili ili liendelee kusonga mbele tumekubaliana menejiment yote kufanya kazi kwa ushirikiano na kuhakikisha hakuna kitu kinakwama, kutoa mrejesho kwa wadau wetu wa ndani na wakati wote” Ameongeza CPA. Abdulkarim


Kwa upande wake mkuu wa msafara kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina amebainisha kuwa tathmini itakayofanyika italisaidia shirika kubaini changamamoto, kutoa maoni yao kuhusu vigezo vya upimaji vilivyowekwa na hivyo kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.


Ofisi ya Msajili wa Hazina imeweka utaratibu wa kufanya tathmini ya utendaji kazi wa taasisi za umma zilizo chini ya usimamizi wake kila mwaka kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi wa taasisi hizo ili zizalishe kwa tija na hatimaye ziweze kujiendesha zenyewe.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma January 31, 2025
  • Taarifa kwa Umma January 29, 2025
  • Usajili wa wafanyabiashara November 14, 2023
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 August 15, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHIRIKA LA MASOKO WAKUTANA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA KWA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI.

    February 02, 2026
  • KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO: SHIRIKA LA MASOKO LAWEZESHA SHUGHULI ZA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KATIKA ENEO LA KARIAKOO.

    January 29, 2026
  • SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO, OSHA WATETA KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO LA KARIAKOO.

    January 26, 2026
  • KARIAKOO KUSAJILI TAARIFA ZA WAFANYA BIASHARA WAKE KATIKA KANZI DATA MAALUM

    January 11, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TAMISEMI
  • eGovernment Authority
  • Employees Self Service Portal

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

www.freevisitorcounters.com

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.