Mtumiaji wa mfumo anapaswa kujisajili na kutengeneza akaunti yeye mwenyewe (Self service) kwenye dirisha linaloitwa Taxpayer Portal linalopatikana katika anuani ya tausi.tamisemi.go.tz. Ili mteja aweze kujisajili anatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:-
Halikadhalika,mteja atazipata huduma hizi kwenye mfumo akiingia kama:-
Mtu binafsi - Kupitia namba ya kitambulisho cha Taifa (NIN) kama username iliyoambatana na TIN binafsi ya mlipakodi; au
Kampuni - Kupitia Msimamizi (Caretaker) aliyetambulishwa na Kampuni kufanya maombi kwa niaba ya Kampuni kupitia TIN ya kampuni aliyohusishwa nayo kwenye mfumo. Hivyo huduma zitakazoombwa kwa njia hii zitasoma/zitakuwa chini ya kampuni kuanzia ankara za malipo (Bill), umiliki na hati za malipo (Payment).
Baada ya mfanyabiashara kutengenezeza akaunti, ataweza kuingia kwenye mfumo kupitia dirisha la mlipakodi ili kuendelea kupata huduma mbalimbali zitakazotangazwa na Shirika
General Manager, Kariakoo Markets Corporation, Nyamwezi/Tandamti Street,
Postal Address: P. O. Box 15789 Dar es Salaam, Tanzania
Telephone: +255 22 2180678
Mobile:
Email: info@kariakoomarket.co.tz
Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.