Ni furaha kubwa kwetu kukukaribisha kwenye tovuti ya Shirika la Masoko ya Kariakoo. Lengo la tovuti hii ni kuufahamisha umma kuhusu sisi ni nani, tunachofanya, jinsi tunavyofanya, na wajibu wetu kwa wananchi na wafanyabiashara waliopo kwenye soko letu. Tovuti hii ni jukwaa rasmi la mawasiliano la Shirika na wadau wetu.
Historia fupi kuwa Soko la Kariakoo lilianzishwa mwaka 1974 kwa mujibu wa Sheria ya Bunge namba 36 ya mwaka 1974. Soko linapatikana katikati ya mitaa ya Mkunguni na Nyamwezi, Tandamti na Sikukuu jijini Dar es Salaam.
Asante kwa kutumia muda wako kutembelea tovuti yetu www.kariakoomarket.co.tz. Ni kwa hakika utaona kwa nini tunapenda tunachofanya na utajiunga nasi katika kuhakisha tunaendelea kutoa huduma bora na za kisasa za uendeshaji na usimamizi wa biashara hatua itakayokuza tija na kuchangia uchumi wa Taifa..
General Manager, Kariakoo Markets Corporation, Nyamwezi/Tandamti Street,
Postal Address: P. O. Box 15789 Dar es Salaam, Tanzania
Telephone: +255 22 2180678
Mobile:
Email: info@kariakoomarket.co.tz
Copyright ©2024 Shirika la Masoko ya Kariakoo . All rights reserved.