Mmoja wa wafanyabiashara watakaorejea Soko la Kariakoo akishiriki mafunzo ya udhibiti wa moto yaliyotolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokozi Machi 11, 2025 ikiwa ni mkakati wa Shirika la Masoko ya Kariakoo kuelekea ufunguzi wa soko la Kariakoo ">
Posted on: April 18th, 2025
Serikali ya Awamu ya Sita katika kuendelea kutatua kero za wafanyakazi nchini imefanikiwa kutoa shilingi Milioni Mia Tatu na Sita kwa ajili ya kulipa madeni ya waliokuwa watumishi wa Soko la...